tangazo

tangazo

Sunday, January 22, 2017

Niumbie na Roho Mtakatifu

EPL: CHELSEA 2 vs 0 HULL CITY, BLUES WAPETA KILELENI KWA POINTI 8



Diego Costa na Gary Cahill waipa Chelsea ushindi leoCosta arudi

VIDEO: Goli la dakika ya 89 la Misri lililowatoa Uganda AFCON 2017



Usiku wa January 21 2017 wawakilishi pekee wa ukanda wa Afrika Mashariki katika michuano ya mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON 2017, timu ya taifa ya Uganda ilitolewa rasmi katika michuano ya mataifa ya Afrika yanayoendelea nchini nchini Gabon.
Uganda wameaga mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Misri katika mchezo wao wa pili wa Kundi D, Uganda wanaaga mashindano hayo na kuwa wanasubiria mchezo wao wa kukamilisha ratiba dhidi ya Mali, hawana uwezo wa kufuzu hatua ya robo fainali hata wakipata ushindi wa aina yoyote ile.
Abdallah El Said wa Misri ndio alihitimisha safari ya Uganda katika michuano ya AFCON 2017, baada ya kufunga goli dakika ya 89 kwa kutumia vyema assist iliyotolewa na Mohamed Salah, kwa mujibu wa rekodi Uganda ni dhaifu kwa Misri, kwani leo wanakuwa wamefungwa kwa mara ya 16 na mara ya mwisho Uganda

BREAKING: Maamuzi mapya ya Rais Magufuli kwa Anne Kilango Malecela



Ni taarifa rasmi kutoka IKULU Dar es salaam juu ya maamuzi mapya ya Rais John Pombe Magufuli ambaye leo January 21 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Cheo cha mwisho alichopewa Anne Kilango kilikua ni ukuu wa mkoa wa Shinyanga lakini April 11 2016 Rais Magufuli alitengua uteuzi wake na katibu tawala wa mkoa Abdul Rashid Dachi baada ya mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa hauna Watumishi hewa.
Taarifa ya IKULU leo imesema baada ya Anne Kilango kuteuliwa, ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za bunge.

ULIPITWA? TAZAMA WANAJESHI WA TANZANIA WAKIONYESHA UWEZO WAO MBELE YA RAIS MAGUFULI